kaimu katibu mkuu wa ALAT wa Taifa amesema wameamua kuja na mwelekeo mpya ili kuendana na kasi ya rais MAGUFULI katika kulinda na kusimamia rasilimali za nchi .Pia ALAT inamuunga mkono rais MAGUFULI kwa kuamia Dodoma na amezitaka halmashauri zote apa nchini kutenga fedha kwaajili ya maendeleo ya nchi. kaimu katibu mkuu wa ALAT Taifa ABDALLAH NGODU amesema tarehe 6 ya mwezi wa 10 ya mwaka 2017 itakuwa nisiku pekee ya kujadili TARULA [Wakala wa barabara kwenye halmashauri nchini Tanzania]
habari picha na ALLY THABITI
No comments:
Post a Comment