RAITINESI DANIELI amewataka wanawake wa kitanzania waweze kuchangamkia fursa za kibiashara zilizopo nchini Tanzania na nje ya nchi yeye anatengeneza Sabuni za kunawia mikono pamoja na shampuu ametoa rai kwa mabenki waweze kuwakopesha wanawake kwa riba nafuu na kwa masharti nafuu
habari picha na VICTORIA STANSLAUS
No comments:
Post a Comment