Mjasilia mali RENATA KRISTOFA amewataka wanawake wa Tanzania waikate tamaa katika kujitafutia kipato lengo waweze kujikwamuwa na wimbi la umasikini .pia amewataka wanawake wenye ujuzi waweze kuwafundisha wenzao RENATA KRISTOFA yeye ni mjasilia mali wa kuuza viatu,shanga,mikoba na nguo za aina zote pamoja na vitu vya asili anapatikana kupitia namba za simu 0658217330
habari picha na VICTORIA STANSLAUS
No comments:
Post a Comment