Tuesday, 5 September 2017

WABURUNDI WAITAJIKA KWAO

Waziri wa BURUNDI wa mambo ya ndani amesema waburundi wote warudi nchini Burundi kwani amani ipo na lengo la kuwaita waijenge Burundi na wasaidie kukuza uchumi wa Burundi katika nyanja mbalimbali

habari picha na  VICTORIA STANSLAUS

No comments:

Post a Comment