Katibu mwenezi wa chama cha CCM AMFUREI POLEPOLE amesema wao wanapinga vikali na kuraani maswala ya ukatili wa kijinsia pia amewataka wanaume kuachanan na maswala ya kuwapiga wanawake amesema haya kwenye viwanja vya TGNP mabibo jijini Dar es salaam
habari picha na ALLY THABITI
No comments:
Post a Comment