Mratibu wa shirika la KWIYEKO ELIZABETI MUSHI ameseitaka jamii ihache uwoga na ofu katika kutokomeza ukatili wa kijinsia kwenye jamii .wao mkoani Kilimanjaro wameweza kupunguza ukatili wa kijinsia asa katika ukeketaji,ndoa za utotoni na mimba za utotoni kwa kutoa elimu kwa watendaji wa vijijini na wenyeviti wa serikali za mitaa namakundi mengine na hatie jamii ya Kilimanjaro inapaza sauti bila ofu na woga pindi wanapoona au kutendewa maswala ya ukatili wa kijinsia .amesema haya kwenye viwanja vya TGNP mabibo jijini Dar es salaam
habari picha na ALLY THABITI
No comments:
Post a Comment