Kaimu mkurugenzi mkuu washirika la reli Tanzania FOCUS SAHANI MAKOYE amesema tarehe 19 adi tarehe 21 mwezi 9 mwaka 2017 usafiri wa Treni kutoka Dar es salaam adi Kigoma hautakuwepo kwa sababu ya matengenezo ya daraja linalounganisha Morogoro na Dodoma kupata itrafu hivyo shirika linafanya ukarabati wa daraja ili . kaimu mkurugenzi wa shirika la reli amewaasa watanzania kuwa na uvumilivu kwa kipindi hichi .ambako tarehe 22 mwezi9 safari zitaanza rasmi
habari picha na ALLY THABITI
No comments:
Post a Comment