Mwakilishi mkazi wa shirika la uhamiaji duniani KASIM SUFI amesema swala la idadi kubwa ya wakimbizi imekuwa ni kikwazo kikubwa cha maendeleo katika nchi zinazowaifadhi wakimbizi. ivyo amezitaka nchi ambazo zinamapigano ya kivita ziache mala moja .pia amezitaka zilete amani na utulivu pamoja na kuzitaka zingine ziendeleze kulinda na kudumisha amani zao ikiwemo Tanzania . amesema wao shirika la uhamiaji duniani lipo katika wakati mgumu wa kuwaandikisha wakimbizi amesema haya kwenye viwanja vya mwembe yanga wilaya ya Temeke jijini Dar es salaam kwenye siku ya amani ambako uhazimishwa kila mwaka tareha 23mwezi9
habari picha na VICTORIA STANSLAUS
No comments:
Post a Comment