Kijana mjasilia mali PAULO SINIGA amewataka vijana wa kitanzania waamke kwa kuchangamkia fursa mbalimbali ili wafanikiwe kiuchumi na kimaisha pia amewataka waachane na swala la kubweteka kwani kwa kufanya ivyo wataliyumbisha Taifa
habari picha na VICTORIA STANSLAUS
No comments:
Post a Comment