Meneja miradi wa AMOA amewapongeza vijana wa kitanzania kwa kuweza kuchangamkia miradi mbalimbali .Pia amewapongeza wana habari kwa kutoa taarifa za miradi kwa wakati amesema haya kwenye mkutano wa siku1 uliofanyika kwenye hotel ya protea eneo la upanga jijini Dar es salaam
habari picha na ALLY THABITI
No comments:
Post a Comment