Waziri wa kilimo amesema wameamuwa kutatuwa vikwazo vinavyowakabili wakulima miongoni mwa vikwazo hivyo. ukosefu wa pembe jeo, mbegu bora, zana za kilimo,miundombinu , masoko na bei mzuri ya mazao. amesema haya kwenye mkutano uliofanyika ukumbi wa mwalimu Nyerere posta jijini Dar es salaam .waziri wa kilimo ametoa wito kwa wakulima kulima kilimo bora na chenye tija . pia waziri wa kilimo amewatoa ofu wakulima kwa kuwaambia kuwa pembe jeo zote zitauzwa kwa bei elekezi pia amekanusha uvumi ulioenea kwamba wakulima wa zao la korosho watapewa Salfa bule na si kweli
habari picha na ALLY THABITI
No comments:
Post a Comment