Kamishna wa ardhi MERY GASPA MAKONDO amesema wameamua kurasimisha ardhi Lengo kuondoa migogoro ya ardhi iliopo nchini Tanzania. na kuwafanya watanzania waondokane na ujenzi olela wa nyumba zao Mpaka sasa wameweza kurasimisha ardhi manspaha ya ILEMELA jijini Mwanza,Kinondoni na Ubungo jijini Dar es salaam. amesema haya kwenye mkutano uliofanyika hotel ya Kilimanjaro posta
habari picha na ALLY THABITI
No comments:
Post a Comment