Thursday, 7 September 2017

WIZARA YA AJIRA,VIJANA NA WATU WENYE ULEMAVU YAJA NA MIKAKATI MIZITO

Kaimu mkurugenzi msaidizi JOSEFU NGANGA amesema wamekuja na mikakati ya kuwawezesha vijana kuwa na uwezo wa kujiajili na kuajiliwa lengo waweze kujikwamua kiuchumi na kuliwezesha Taifa kunufaika  amesema haya kwenye viwanja vya TGNP mabibo jijini Dar es salaam

habari picha na  VICTORIA STANSLAUS

No comments:

Post a Comment