Katibu mkuu kutoka wizara ya sanaa ,michezo , tamaduni na habari amewataka wana habari wa kutii na kuzitekeleza kwa vitendo kanuni mpya za habari zitakazotumika . amesema haya jijini Dar es salaam wakati akiongea na wadau wa habari pamoja na wamiliki wa vyombo vya habari
habari picha na VICTORIA STANSLAUS
No comments:
Post a Comment