WALENI BRAITONI wa UNFPA amewataka vijana wa kitanzania washiriki kikamilifu kwenye miradi mbalimbali lengo wapate maendeleo ya kiuchumi wao na Taifa kwa ujumla amesema haya kwenye mkutano wa siku1 uliojumuisha vijana na wana habari kwenye hotel ya protea eneo la upanga jijini Dar es salaam
habari picha na ALLY THABITI
No comments:
Post a Comment