Msanii nguli wa maigizo maalufu MBOTO ameyataka makampuni mbalimbali waweze kuzizamini timu za mpira wa miguu nchini Tanzania amesema haya kwenye hotel ya protea wakati timu ya majimaji ilipopewa shilingi milioni150 na kampuni ya SOKA BET
habari picha na ALLY THABITI
No comments:
Post a Comment