STIVINI KIBERITI amesema ni vyema watanzania wote waweze kutumia kikamilifu kanuni za Afya ya mazingira ili Afya zao zipate kuimarika .wakifanya ivi wataondokana na maradhi ya Moyo na magonjwa ya milipuko ametoa rai kwa watanzania waachane na matumizi mabaya ya uvutaji wa Tumbaku kiolela. amesema haya kwenye viwanja vya Mnazi mmoja wilaya ya Ilala jijini Dar es salaam kwenye siku ya Afya ya mazingira Duniani
habari picha na VICTORIA STANSLAUS
No comments:
Post a Comment