Mmoja ya viongozi kutoka chuo cha Sekomu ameitaka jamii ya kitanzania na isio ya kitanzania kutowatenga ,kuwanyanyapaa na kutowabaguwa watu wenye ulemavu na badala yake wawe karibu nao na wawape elimu kwa kuwapeleka mashuleni. wao chuo cha Sekomu wannatoa mafunzo ya aina mbalimbali asa kwa walimu jinsi ya kuwafundisha na kuwaudumia watu wenye ulemavu wa aina zote .chuo hiki kipo mkoani Tanga na kinnatoa mafunzo ya nukta nundu ni maandishi ya watu wenye ulemavu wa kutokuona wanayatumia katika kuandika na kusoma
habari picha na ALLY THABITI
No comments:
Post a Comment