John Shibuda Mwenyekiti wa Chama cha TADEA na Mwenyekiti wa Baraza la Vyama vya Siasa Tanzania ameipongeza Tume ya Taifa ya Uchaguzi Tanzania kwakuwa wawazi na Kwa kuwashirikisha viongozi wa vyama vya Siasa katika maendeleo ya hatuwa ya uandikishaji wa wapiga Kura kwenye daftari la kudumu la wapiga Kura John Shibuda ametoa wito Kwa watanzania kujitokeza Kwa wingi tarehe 17 mwezi 4 kwenye maboresho ya pili ya daftari la kudumu la wapiga Kura huku akiwataka wanasiasa kuamasisha watu wajitokeze Kwa wingi mpaka sasa watanzania milioni30 wamejiandikisha kwenye daftari la kudumu la wapiga Kura
Habari picha na Ally Thabit
Tuesday, 24 March 2020
Friday, 20 March 2020
NCCR MAGEUZI YAKISAMBARATISHA CHAMA CHA CHADEMA
Aliyekuwa Mwenyekiti wa chama cha CHADEMA upande wa Vijana (BAVICHA) mwenye kadi namba 43860 Yuda Paulo Nguti amesema ameamuwa kutoka chama cha CHADEMA na kujiunga chama cha NCCR Mageuzi kwani CHADEMA Akuna uhuru wa kidemokrasia na haki ya kusikilizwa hii inatokana baada ya kukatwa jina lake wakati akiwania nafasi ya uwenyekiti BAVICHA hakupewa furusa ya kuojiwa wala kupewa sababu ya kukatwa kutokana na ivyo ameamuwa kuingia chama cha NCCR Mageuzi kwani ni chama makini hakina migogoro na kinasimamia demokrasia ya kweli
Habari picha na Ally Thabit
Habari picha na Ally Thabit
Thursday, 19 March 2020
CORONA YAITAFUNA CHAMA CHA CUF
Mwenyekiti wa chama cha wananchi CUF prof Hibraim Aluna Lipumba amesema wameamua kusitisha ziara ambazo zolitakiwa wafanye kwenye mkoa wa Pwani,Lindi,Mtwara ,Ruvuma na mkoa mingineyo kwa upande wa Tanzania visiwani CUF walitaka kufanya ziara Unguja na Pemba virus vya ugonjwa wa CORONA ambavyo vinaongoza idadi kubwa ya vifo Duniani na sasa virus vya ugonjwa huu vipo nchini Tanzania na mpaka sasa watu6 wamegundulika kuwa na virus vya ugonjwa wa CORONA ndio maana chama cha wananchi CUF kimeamuwa kusitisha mikutano yake yote ya hadhara Lengo kuepusha maambukizi kwani ugonjwa huu uambukiza kwanjia ya hawa na kugusana Mwenyekiti ametoa wito kwa viongozi wa dini waendelee kuomba ugonjwa huu utoweke Tanzania
Habari picha na Ally Thabit
Habari picha na Ally Thabit
Tuesday, 17 March 2020
TAKUKURU YAOKOA MABILIONI YA FEDHA
Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa taasisi ya kuzuia na kupambana na Rushwa (TAKUKURU) John Mbungo amesema wameweza kuokoa kiasi cha bilioni 8.5 fedha ambazo zilizo ibiwa na wana Ushirika kati ya bilioni 124 Pia amesema Temeke,Kinondoni,llala na Njombe ni mkoa vinara kwa kuina fedha za Ushirika John Mbungo ametoa wito watu kutoa taarifa kwa kupinga simu kupitia 113 piga bure
Habari picha na Ally Thabit
Habari picha na Ally Thabit
NCCR MAGEUZI YAWATAHADHARISHA WATANZANIA DHIDI YA COVID-19(CORONA)
Mwenyekiti wa chama cha NCCR Mageuzi na ni mtaalam wa Majanga amewatata watanzania kutekeleza kwa vitendo maagizo yanayotolewa na serikali katika kujikinga na ugonjwa wa COVID-19 (CORONA) ametoa wito kwa serikali waweze kutoa taarifa mara kwa mara na wateja elimu kwenye Masoko na kwenye Mipaka James Francis Mbatia amewataka watanzania kuweka tofauti zao pembeni ivyo waungane katika kutokomeza janga hili la COVID-19 (CORONA) pia amewataka watanzania kuacha kuandika habari za uongo ametoa wito kwa serikali kuwatumia wataalam wa Majanga
Habari picha na Victoria Stanslaus
Habari picha na Victoria Stanslaus
Saturday, 14 March 2020
TGNP MTANDAO YAHAIDI MAZITO KWA MABINTI
Mkurugenzi Mtendaji wa TGNP Mtandao Riliani Lihundi amesema kwakushirikiana na taasisi ya Binti Makini wataendelea kuwajengea uwezo Mabinti waliokuwa vyuoni katika kujitokeza kugombea nafasi za uongozi ususani kipindi hichi cha uchaguzi mkuu Pia TGNP Mtandao wamefunguwa milango Kwa Mabinti watakao jitokeza kumbea nafasi za Udiwani,Ubunge na Urais wataendelea kuwajengea uwezo bule Mkurugenzi Riliani Lihundi ametoa rai kwa Mabinti wajiamini na wasikubali kukatishwa tamaa katika kuwania nafasi za uongozi uku akiwataka Mabinti watumie mitandao ya kijamii kupinga maswala ya ukatili wa kijinsia Kwa kutoa taarifa Kwa Jeshi la Polisi
Habari picha na Victoria Stanslaus
MBUNGE KIJANA AWAFUNDA MABINTI
Galina Abdullah Mujula Burembo amewataka Mabinti wa kitanzania waondoe ofu na mashaka wajitokeze Kwa wingi kugombea nafasi za Ubunge na Udiwani kwenye uchaguzi wa mwaka 2020 amesema haya kwenye kongamano lililo andaliwa na taasisi ya Binti Makini na TGNP Mtandao ambako Mabinti zaidi 400 wameshiriki kutoka vyuo 11
Habari picha na Victoria Stanslaus
Habari picha na Victoria Stanslaus
Subscribe to:
Posts (Atom)






