Thursday, 27 August 2020

TCRA YATOA UJUMBE MZITO KUELEKEA UCHAGUZI MKUU MWAKA 2020

James Kilaba Mkurugenzi Mkuu wa Mamraka ya  Mawasiliano Tanzania (TCRA)  amesema tupo duniani  Kwa mapenzi ya Mungu ivyo amewataka wanahabari,wanasiasa na watu wengine  kulinda na Kuitunza Amani  tulio nayo kipindi  hiki cha Uchaguzi na Kampeni  Tanzania 
. Amesema TCRA imetoa   leseni  Kwa vyombo vya habari Lengo waelimishe jamii ,watoe ujumbe ,waburudishe na waweze kuwapa habari watu  hivyo amewataka Wana habari na wamiriki wa vyombo vya habari wazingatie na kufuata  taratibu, kanuni na Sheria za Mahudhui  ya leseni  zao Pia amewataka kuzingatia kanuni za Uchaguzi za mwaka 2015 kanuni ya 39 na vifungu vyake ambako Tume ya Uchaguzi Tanzania ndio yenye Mamlaka ya Kutangaza na kutoa taarifa za ushindi wa Wagombea Kwa ngazi zote za Uchaguzi  amesema haya wakati akiongea na Wana habari  wakati akitoa taarifa za kikifungia kituo cha Clauds  Midia upande wa Redio na TV kuanzia tarehe 28 Mwezi 8 mpaka tarehe 3 Mwezi wa 9 Kwa kutotoa huduma zozote za matangazo  baada ya kukiuka kanuni za Mahudhui za TCRA na Kanuni za Uchaguzi za Tume ya  Taifa ya Uchaguzi Tanzania


Habari picha na Ally Thabiti



 

TMHS YAGUSWA USHIRIKISHWAJI WA WATU WENYE ULEMAVU

Mkurugenzi wa Taasisi ya TMHS Dr Chakou Halfani amesema katika maswala ya mazingira  watawashirikisha watu wenye Ulemavu mbalimbali .Lengo watu wenye Ulemavu waweze kuzitambuwa na kuzichangamkia fursa mbalimbali zinazotokana  na taka  pia waweze kujikinga na kujikinga na hathari za taka katika miili Yao  

Habari picha na Victoria Stanslaus


 

LIPUMBA AWEKA BAYANA JUU YA PINGAMIZI LAKE

 Mwenyekiti wa Chama cha CUF prof Iblaim Aluna Lipumba amesema pingamizi aliloekewa na Mgombea mwenzake Kwa nafasi ya Urais kupitia Chama cha CHADEMA alikuwa na mashiko . Amewataka Wana CUF kujiandaa na kampeni  za Uchaguzi 


Habari Victoria Stanslaus

Wednesday, 26 August 2020

HENRY KAZULA AITAKA JAMII KUCHANGAMKIA FURSA YA TAKA

Mkurugenzi Mtendaji Henry Kazula wa Taasisi ya JIELIMISHE KWANZA amewataka watu nchini Tanzania watenge taka ili waweze kuziuza wapate pesa  .Changamoto wanazozipata katika ujeleshwaji wa taka ni tabia za watu ,mifumo mibaya ,wananchi kutoka na uwelewa,gharama kubwa, uwajibikaji mdogo na Kanuni na Sera si rafiki .taasisi Yao inawapongeza uwezo  kuusiana na maswala ya taka 

Habari picha na Victoria Stanslaus

 

TAASISI YA TMHS YAGUSWA NA KIWANGO KIKUBWA CHA TAKA NCHINI

Mkurugenzi Mtendaji Dr Chakou Halfani wa Taasisi ya TMHS amesema uzarishaji wa taka tani elfu kumi 10 kinachozalishwa kwa siku Mkoa wa Dsm ni kikubwa mno na ifikapo mwaka 2025 utakuwa tani elfu 12 Kwa siku ndio mwana wamekuja na mikakati ya kutoa elimu Kwa watu ili wazitumie Kwa Lengo 
Taka la kujiajili na kujikwamuwa kiuchumi  .Mkurugenzi Chakou Halfani  anaamini taka si u uchafu  bali nisehemu ya watu  kujipatia kipato amesema haya jijini Dsm kwenye Mkutano wa wadau wa Taka,serikali na watunga Sera 

Habari picha na Ally Thabiti


 

MKURUGENZI WA BARAZA LA MAZINGIRA AIPONGEZA TAASISI YA MTHS

 Mkurugenzi wa Baraza la Mazingira Tanzania (NEMC) Dr  Eng Gwamwaka  amesema kitendo cha taasisi ya TMHS Kuwakutanisha wadau wa mazingira kujadili na kuweka mikakati ya kupunguza taka nchini ni kizuri kwani Kinatoa fursa ya watu kupata ajira kupitia taka ,kupunguza gharama za kuagiza Mali ghafi kutoka nje ya nchi huku mi kumuunga mkono rais Magufuli kufika Tanzania ya Viwanda 

Habari picha na Victoria Stanslaus


Tuesday, 25 August 2020

MAAFSA WA JESHI WAAGWA

 Maafsa wa Jeshi la wananchi nchini Tanzania (JWTZ) wameagwa baada ya kufika kikomo cha kustaafu ambako wapate 16 Mameja Jenerali6 Blegedia Jenereli9 na Ruteni Jeneraki1 ambaye Pour Peter Massao ambaye aliekuwa mkuu wa Chuo cha Usalama wa Taifa Kunduchi jijini Dsm  .Mery Hiki bregedia Jenerali aliekuwa Mwambata wa Jeshi nchini Burundi akiiwakilisha Tanzania ameishukuru serikali ya Tanzania Kwa kuvijali na kuvisimamia Vyombo vya Ulinzi na Usalama Nae Hawa ISA bregedia Jenerali ameahidi kutekeleza Kwa Vitlendo Yale yote yaliofanywa na watangulizi wao  . Name  mkuu majeshi  Ruteni Jeneraki1  Venasi Mabeo ameshirikiana kwenye kuwaahidi maafisa wa Jeshi  Eneo la Uhasibu Temeke jijini Dsm

Habari picha na Ally Thabiti