Wednesday, 26 February 2025

MKURUGENZI AIMIZA MIFUMO YA MITAJI YA MASOKO YA ISA HIIMARISHWE


 Mitaji ya Masoko ya Isa Ikihimarishwa Idadi ya Wawekezaji itaongezeka ambako kwa sasa  watu laki6 wamewekeza kwenye masoko ya isa Cipiey Nikolaus ameipongeza kampuni ya VERTEX INTERNATIONAL SECURITIES LTD kwa kusimamia fedha za wawekezaji.

Habari picha na Ally Thabit 

Saturday, 22 February 2025

MSANII JEYB AWATAKA WASANII KUMUUNGA MKONO RAIS DR SAMIA


 Barozi wa Chama cha Ccm Msanii Jeyb anawata wasanii nchini tanzania kujiunga na chama cha ccm na kumuunga mkono rais Dr Samia kwani ameweza kutekeleza kwa vitendo miradi yote ya kimkakati mfano ujenzi wa SGR  ,amewapa wasanii mikopo ya fedha ambayo aina riba bila kujali chama dini wala rangi na jinsia .

Barozi Jeyb amesema watafanya kampeni nchi nzima ya kuakikisha watu wanajiunga na chama cha ccm na rais Dr Samia  anashinda kwenye uchaguzi mkuu wa mwaka 2025.

Habari picha na Ally Thabit 

KATIBU MKUU NA MSEMAJI WA SERIKALI ABAINISHA MIKAKATI YA WAKULIMA WA KAHAWA


 Greyson Msigwa Katibu Mkuu na Msemaji wa Serikali amesema kuwa serikali ya tanzania imeweka mazingira rafiki na wezeshi kwenye zao la kahawa kwa kuwapa wakulima wa kahawa pembejeo zenye ubora na za kisasa ,Mbegu zenye ubora,Mafunzo kwa wakulima wa kahawa,Teknolojia za kisasa na zenye ubora na kufanya tafiti pamoja na kuwatafutia masoko wakulima wa kahawa ndani ya nchi na nje ya nchi.

Lengo la kufanya haya yote ni kuwainuwa wakulima wa kahawa kiuchumi na kuongeza uzalishaji wenye tija katika kahawa . Baada ya serikali kuyafanya haya yote chini ya rais Dr samia hatimae kahawa ya tanzania imepanda thamani kubwa na kupelekea kahaya ya tanzania kuuzika katika masoko ya kitaifa na kimataifa .

Katibu Mkuu na Msemaji wa Serikali amesisitiza kuwa watu wenye ulemavu katika zao la kahawa wanashirikishwa kikamilifu Pia kupitia mradi wa BBT watu wenye ulemavu  wapo na kupitia mikopo ya halmashauri watu wenye ulemavu wanapewa pesa kwaajili ya kufanya biashara mbalimbali amesema haya kwenye mkutano 3RD G25 AFRICAN SUMMIT 2025 uliofanyika jijini dar es salaam. 

Habari picha na Ally Thabit Mbungo 


Friday, 21 February 2025

WAZIRI WA KILIMO AZITAKA NCHI ZA AFRIKA KULETA MAGEUZI KWENYE ZAO LA KAHAWA

 Husen Bashe Waziri wa Kilimo anazitaka Nchi zote za bara la Afrika kuweka mkazo mkubwa kwenye zao la kahawa kwa kutenga bajeti za kutosha kwaajili ya kununua pembejeo,Kuweka program kwa wakulima wa kahawa ,Kuwatafutia masoko ya kimataifa na kuwawezesha teknolojia za kilimo amesema haya kwenye mkutano wa  3RD G25 African Coffee Summit 2025 unaofanyika jijini Dar es salaam. 

Habari na Ally Thabit 

ANT EZEKIEL AJIUNGA NA CHAMA CHA CCM

 

Msanii Ant Ezekiel ameamuwa Kutoka chama cha Chadema na kujiunga na chama cha ccm kwani rais Dr samia anawaunga mkono wasanii kwa kiasi kikubwa kwa kuwapa mikopo na kuweka mazingira rafiki kwa wasanii na ameahidi atakuwa balozi wa chama cha ccm.

Habari picha na Ally Thabit 

STAMINA KUMLUDISHA ROMA TANZANIA


 Msanii wa Kizazi Kipya Stamina na balozi wa chama cha ccm amesema atamshawishi msanii Roma aliopo mafichoni nchini marekani aweze kurudi nchini tanzania na kujiunga na chama cha ccm.

Habari picha na Ally Thabit 

TANTRADE YAJIVUNIA NA TUZO


 Ratifa Mohamed Mkurugenzi  wa TANTRADE  amesema tuzo zitasaidia kuwakuza wafanyabiashara wadogo na wakati kwani biashara zao watazalisha bidhaa zenye ubora na watazingatia alama zote.

Habari na Ally Thabit