Tuesday, 30 November 2021

TAASISI YA VIPARUMA YAIPONGEZA WILDAF


 Mosses Mwangata Afsa Miradi wa VIPARUMA Kutoka Mkoa wa Rukwa amesema kampeni iliyozinduliwa na Waziri Mkuu Majaliwa Kassim Majaliwa ya kupinga na kutokomeza ukatili wa kijinsia Kwa watoto wa kike ni mzuri kwani itasaidia na kuwezesha watu kutofanya maswala ya ukatili wa kijinsia Kwa watoto wa kike na wengineo.

Mosses Mwangata amesema tassisiil Yao ya VIPARUMA ya mkoani Rukwa itatoa elim Kwa watu kutofanya ukatili Kwa watoto na watu wengine.pia ameshukuru na kuipongeza WILDAF Kwa uzinduzi walio Fanya.

Habari picha na Ally Thabiti


MRATIBU WA TAPHATA AELEZA MIKAKATI


 Emmanuel Bujiku Mratibu wa Baraza la Wafamasia (TAPHATA)  amesema baada ya mkutano huu kumalizika mabadiliko makubwa yatajitokeza katika Uuzaji na Usambazaji wa Dawa na Vifaa Tiba .

Lengo la mkutano wa TAPHATA no kujadili na kutatuwa Changamoto zilizopo Kwa Wafamasia na kupanua wigompanakwa  kupata Masoko ..pia Amewapongeza na kuwashukuru wanachama wa TAPHATA Kwa kujitokeza Kwa wingi kwenye mkutano na kuinua changamoto zilizopo kwenye maeneo yao ya kazi.

MRATIBU Emmanuel Bujiku ameahidi kuyafanyia Mapendekezo yote. Na Yale ambayo yapo upande wa serikali atayawasilisha serikalini amewàshukuru na kuwaongezea wazamini wao wote Kwa michango Yao na ushirikiano waomkubwa wakutosha.

WakiwemoCRDB BANK na wengine

Habari picha na Ally Thabiti


Wednesday, 24 November 2021

DR AMBEGE MWAKATOBE ATOA NENO KWENYE MKUTANO WA AFYA YA TIBA YA MENO NA KINYWA

 

Dr Ambege Mwakatobe ameipongeza Serikali Kwa juhudi na jitihada wanazozifanya Kwa kutoa vifaa TIBA vya  Afya ya Meno na Kinywa pamoja na uboreshwaji wa miundombinu ya utendaji kazi.

Pia Ongezeko la Ajira la Watumishi Kwa Watoahuduma na kuongezeka Kwa wadahiri pamoja  na Vyuo vya kufundishia ,, Dr Ambege Mwakatobe ametoa wito Kwa Wataalam wa Afya ya Meno na Kinywa pamoja na wanaokwenda kupata huduma hiyo kuchukuwa taadhari dhidi ya UVIKO 19.

Habari picha na Ally Thabiti

MKUTANO WA AFYA YA KINYWA NA MENO ( TDA) YAWACHOCHEA WANAWAKE


 Dr Leonora Asseri Dds-Dar Implantology -Netherlands Kutoka SHALOM DENTAL SURGERY. amesema mkutano huu utasaidia Kwa kiasi kikubwa kuondoa matatizo ya Kinywa na Meno Amewapongeza wasichana waliofanya vizuri kwenye masomo yao katika maswala ya TIBA ya Meno na Kinywa. Sakina, Dr Luciana Albert na Chirstna.

Ivyo amewataka Wazazi na Walezi kuhachana na Mira na desturi potofu na kandamizi dhidi ya watoto wa kike Kwa kuamini kuwa wamezaliwa kwaajili ya kuolewa Tu ,ambako dhana hizi sio za kweli kwani wanawake wanauwezo mkubwa wa kufanya kazi na Uongozi.

Habari picha na Ally Thabiti

ANA ENGA AHAIDI MAZITO KUTOKA LHRC

Mkurugenzi Mtendaji wa LHRC Ana Enga amesema watashirikiana na taasisi ya APRM Kwa Ali na Mali Lengo Tanzania iendelee kuwa nchi inayojali maswala ya Utawara Bora na Demokrasia .

Ana Enga amesema APRM inajumla ya nchi 41 za Kiafrica APRM itasaidia watu kuondokana na mfumo dume,Ukatili wa Kijinsi,Uvinjwaji wa Amani na Viongozi wa Kiafrica kuzingatia haki za binadamu na Utawara bora katika nchi zao . 

Ivyo Taasisi ya APRM imekuja kusimamia Haki katika nafasi za Uongozi.

Habari picha na Ally Thabiti
 

DEUS KIBAMBA AIPONGENZA LHRC


 Mkurugenzi Mtendaji waTCID Deus Kibamba amesema anawapongeza LHRC Kwa kuweza kushirikiana na taasisi ya APRM Kwa kuzinduwa ripoti ya tanzania katika maswala ya kujitathimini Mfano upande wa Utawara Bora ,Demokrasia na mengineyo.

Ambako itasaidia kuelewa tulipo toka ,tulipo na tuendapo katika maswala ya Utawara Bora na Demokrasia.

Deus Kibamba amezitaka Asasi za Kiraia kutoa ushirikiano Kwa APRM.

Habari picha na Ally Thabiti

CHAMA CHA SIASA CHAAIDI MAZITO KWA TGNP


 Kiongozi wa Chama cha Siasa amesema Mafunzo waliopata TGNP yeye atayatumia katika kuleta mabadiliko katika  Vyama vingine vya Siasa , Lengo kuondoa mfumo dume kwenye nafasi za Uongozi. 

 Kwani semina hii itafanya wanawake kujiamini katika kugombea nafasi za wenyeviti ndani ya Vyama vya siasa na wanawake kuondokana na dhana potofu ya kungoja nafasi za Citi maalum upande wa Udiwani na Ubunge.  

Na atimae wanawake watakwenda kugombea nafasi za Udiwani na Ubunge katika kata na majimbo na ngazi ya Urasi,amewataka TGNP na ULINGO kutovunjika Moto Kwa Mafunzo wanayotoa.

Habari picha na Ally Thabiti