Afisa wa PSPF awataka wafanyakazi wa MOI wajiunge na mfuko wa PSPF
Abdul Njaidi amesema hayo kwenye mkutano wa Baraza la wafanyakazi wa MOI lililofanyika wilaya ya Temeke jijini Dar es salaam. Bwana Njaidi ameainisha mikopo inayotolewa na PSPF kuwa ni mikopo ya Nyumba, Viwanja, Elimu na Fao la uzazi kwa akina mama.
Sunday, 30 April 2017
Tuesday, 25 April 2017
VIONGOZI WA BARAZA LA BIASHARA WATOA TAARIFA YA KUZINDULIWA KWA BARAZA HILO TAREHE 05/05/2017 NA RAISI MAGUFULI
Katibu wa baraza la biashara la taifa Raymond Mbilinyi akiambatana na katibu mtendaji wa baraza la biashara sekta binafsi James Simbei wakiongea na waandishi wa habari juu ya uzinduzi wa baraza la wafanya biashara lililoundwa tarehe 03/12/2015 na Rais John Pombe Magufuli,( Picha na Mwandishi wetu )
RAIS JOHN POMBE MAGUFULI AWASIRI DODOMA
rais JOHN POMBE MAGUFULI amewasiri mkoani dodoma kwaajiri ya sherehe ya miaka 53 ya muungano kati ya Tanganyika na Zanzibar . kilele chake kitakuwa tarehe26 mwezi 4 /2017
MUFTI MKUU AWATAKA WATANZANIA WAWE MABALOZI WAKUKEMEA DAWA ZA KULEVYA
TAASISI ZA KIDINI ZATAKIWA KUPINGA DDAWA ZA KULEVYA
UVCCM WAKANUSHA UVUMI KUHUSU FIGISUFIGISU ZA UTEUZI WA JOKATE
WFP WARIDHIA KUFANYA KAZI NA SHIRIKA LA RELI TRL BAADA YA KURIDHISHWA NA MABORESHO YA SERIKA YA JPM
WFP WAINGIA UBIA NA TRL
Saturday, 22 April 2017
MEYA AMPONGEZA DIWANI WA KATA YA KIRUNGULE
Meya wa temeke amempongeza diwani FERA wa kata ya kirungule kwakuzindua na kuanzisha kampeni ya tujuane natufaamiane ili tusaidiane ili kuweza kutatua changamoto za wananchi kwa haraka na kuweza kuibua vipaji vya vijana wa kata yake na kuwawezesha kuwakutanisha na wadau mbalimbali ili waweze kupata ajira meya ABDALA JAFARI CHAULEMBO amewapongeza wananchi kujitokeza kwa wingi kwenye tamasha la leo na amesisitiza zoezi la kuibua vipaji litakuwa endelevu kwenye wilaya ya temeke amewataka wananchi wachangamkie fulusa kwenye matamasha yote uzizinduzi huu umefanyika kata ya kirungule wilaya ya temeke jijini dar es salaam
habari picha na ALLY THABITI
habari picha na ALLY THABITI
DIWANI WA KATA YA KIRUNGULE AZINDUA KAMPENI YA TUJUANE NA TUFAAMIANE HILI TUSAIDIANE KATA YA KIRUNGULE
Diwani FERA wa kata ya kirungule amezindua kampeni hii ili wakazi wa kata yake watoe kelo zao ili watatuliwe kwa haraka pia amefanya ivi kwa ajili ya kuwashukuru wananchi wake na kuwakutanisha na wadau mbalimbali ili waweze kupata ajira ikiwemo kwenye kiwanda cha rasta na wenye vipaji vya michezo waweze kupata ajira mfano kwenye tim ya afrika liyoni uzinduzi huu umembatana na bonanza la michezo kwenye kata ya kirungule wilaya ya temeke jijini dar es salaam habari picha na VICTORIA STANSLAUS
HII NI PICHA YA PAMOJA
Baada ya mradi kuzinduliwa ripoti yake picha ya pamoja imepigwa na kuashiria kutumika kwa ripoti hii habari picha na ALLY THABITI
MWAKILISHI WA OFISI YA RAIS NA UTAWARA BORA AMESEMA HAYA
C-sema waweze kutumia sera ya zanzibar ya mtoto ya miaka iliopita kwa kuanzisha vituo mbalimbali vya kukusanya maoni mwakilishi OMARI HAMISI JUMA amesisitiza elimu hii ya uraia itolewe tanzania kote amezungumza haya kwenye uzinduzi wa mradi wa utoaji ripoti kwenye hotel ya count yard . habari picha na ALLY THABITI
MWAKILISHI WA WAKALA WA USAJIRI; UFIRISI NA UZAMINI RITA AMEWATAKA WATANZANIA KUSAJIRI VYETI VYA KUZALIWA
JAFARI MALEMA mwakilishi wa rita amewataka watanzania waweze kusajiri vyeti vya kuzaliwa ili waepukane na vikwazo mbalimbali ikiwemo kupata nafasi za kazi na waweze kutambulika kuwa wao ni watanzania amezungumza haya kwenye uzinduzi wa mradi wa ripoti ya c-sema kwenye hotel count yard habari picha na ALLY THABITI
AFSA MAWASILIANO WA C-SEMA AELEZA JUU YA UTOAJI UJUMBE KWA NJIA YA SIMU
ITANISIA VISENTI afsa mawasiliano wa c-sema amesema kwenye wilaya ambako mradi ulipita wamekusanya maoni kwa kutumia simu ya mkononi ambako wayu waliandika ujumbe mbalimbali na ameziomba halmashauri zingine mradi huu ukipita watoe ushirikiano aya amezungumza kwenye uzinduzi wa ripoti kwenye hotel ya count youdy jijini dar es salaam habari picha na ALLY THABITI
C- SEMA YAZINDUA RIPOTI YA MRADI WA ELIMU YA KIRAIA JINSI YA KUPATA HUDUMA KWENYE HALMASHAURI KWA NJIA YA SIMU
Mkurugenzi wa c-sema amesema ripoti imebaini changamoto mbalimbali kwenye halmashauli hapa nchi zikiwemo ndoa za utotoni;mirathi; mimba za utotoni; mirathi;migogoro ya ardhi pamoja na upatikanaji wa vyeti vya kuzaliwa JOELI KIIYAamesema mradi huu umefanyika kwenye wilaya zifuatazo shinyanga; kiera; bagamoyo; kahama;karagwe;chalinje pamoja na maswa ametoa wito jamii iweze kutumia elimu ya uraia kupata huduma kwenye halmashauri hili waondokane na migogoro ya ardhi; ndoa za utotoni na changamoto zingine . habari picha na ALLY THABITI
Thursday, 20 April 2017
KATIBU WA DAWACKO AHACHA MAAGIZO
Katibu wa dawacko ahacha maagizo kwa viongozi wanaosimamia watu wasiolipia biri ya maji waweze kufuatiliwa ili waweze kulipa bili zao endapo wasipolipa basi waburuzwa mahakamani mkutno huu ulifanyika jijini dar es salaam kwenye ofice za dawacko habari picha by ALLY THABITI
Wednesday, 19 April 2017
KAMSHNA WA UHAMIAJI ATOA SIKU 90 KWA WAAJIRI KUAKIKI VIBARI VYA WAFANYAKAZI WAO
KAMISHNA WA UHAMIAJI AMEZINDUA MFUMO WA UHAKIKI WA VIBARI VYA WAFANYA KAZI WA KIGENI
Doctar ANA PITA MAKAKALA amesema mfumo wa uhakiki wa vibari vya wafanya kazi nivya kieletroniki utasaidia kutatua changamoto mbalimbali ikiwemo vibari kutoka kwa wakati; kuzuia mianya ya rushwa na kuweza kutopotea kwa maduhuri pia amewaakikishia watanzania huduma hii itapatikana tanzania kote huzinduzi huu umefanyika jijini dar es salaam kwenye ofice za uhamiaji zilizopo kurasini habari picha na VICTORIA STANSLAUS
Saturday, 15 April 2017
MKUU WA SHULE YA TAMBAZA ASII WANAFUNZI WA KIDATO CHA SITA WAWEZE KUPIMA AFYA ZAO
SHEE ARU AMEWASII WANAFUNZI WAKIDATO CHA SITA WAWE NA MAADILI MEMA
Haya amezungumza kwenye maafari ya kidato cha sita shule ya sekondari tambaza ya kiislam shee ARU amewataka wafunzi waweze kujitambua;wajitolee kwenye shuguri mbalimbali za kijamii na waweze kutoa elimu walioipata kwa wengine. habari picha na ALLY THABITI
RISARA YAZUNGUMZIA CHANGAMOTO ZA SHULE YA SEKONDARI TYA TAMBAZA YA KIISLAM
Uchache wa walimu; vitabu vya kusomea; vifaa vya kufundishia pamoja na uchache wa madarasa ni changamoto ambazo zipo kwenye shule ya sekondari ya tambaza ya kiislam haya yamebainishwa na mwanafunzi wa kidato cha sita licha ya kukabiliwa na changamoto wameweza kupata mafanikio ya kufauru vizuri nakuweza kuwasaidia wanafunzi wanao kosa maitaji muhimu ikiwemo sale za shule;vitabu pamoja na madafutariwakati anamkabidhi lisala mgeni lasmi anamuomba kutatua changamoto zinazo wakabili.shule ya sekondari tambaza ina jumla ya wanafunzi 310 kidato cha tano160 na walioitim kidato cha sita leo hii ni 150 habari picha na ALLY THABIT
MAARI YAKUKABIDHIWA VYETI VYA WANAFUNZI WA KIDATO CHA SITA
Huyu ni miongoni mwa wanafunzi waliokabidhiwa vyeti kwenye maafari ya kiislam ya kidato cha sita shule ya sekondari ya tambaza jijini dar es salaam RAJABU MUSA amefurai kwa kukabidhiwa cheti. habari picha na VICTORIA STANSLAU
Thursday, 13 April 2017
RAIS AWAKISHISHIA WANANCHI WA PUGU NA WATANZANIA WOTE WATAPATA AJIRA.
Haya ameongea na wananchi wa eneo la pugu jijini dar es salaam baada yakumaliza kuweka jiwe la msingi na kukata utepe na amesema kuwa reli hii ikikamilika itasaidia kukua kwa uchumi wa nchi yetu ya tanzania reli hii ujenzi wake utaanzia dar es salaam hadi morogoro na hawamu zingine za ujenzi wa reli hii ya kati ya
kisasa zitatangazwa .habari picha ALLY THABITI
kisasa zitatangazwa .habari picha ALLY THABITI
Wednesday, 12 April 2017
Tuesday, 11 April 2017
TIGO YAZINDUA HUDUMA YA KITABU APU
KAMPUNI TIGO KWAKUSHILIKIANA NA KAMPUNI YA JACSON GROUP HUDUMA HIYO ITAWEZESHA WATU KUSOMA VITABU KWA KUTUMIA MTANDAO
WA SIMATI PHONE KWA GHARAMA NAFUU KWA SH500 HADI ELFU5000 MTANDAO HUU WA TIGO HUMEWAFIKIA WATU ZAIDI YA ELFU19 NA MIKOA ZAIDI YA MIKOA 22 HAYA YAMESEMWA NA MENEJA MAWASILIANO WA TIGO WEINDE SHISAELI.
NAE MKULUGENZI WA KAMPUNI YA JACSON GROUP AMETOA WITO KWA WAANDISHI WA VITABU WAUNGANE NAO NA WANAFUNZI WATUMIE FULSA HII KWANI ITAWASAIDIA KUFANYA VIZURI KWENYE MASOMO YAO NA KUFIKIA LENGO LA TAANZANIA KUWA NCHI YA VIWANDA HAYO YAMESEMWA NA KEVINI TWIKA MKULUGENZI WA KAMPUNI YA JACSON GROUP HUZINDUZI HUU HUMEFANYIKA MAKAO MAKUU YA TIGO YALIOPO MAKUMBUSHO JIJINI DAR ES S ALAAM
WA SIMATI PHONE KWA GHARAMA NAFUU KWA SH500 HADI ELFU5000 MTANDAO HUU WA TIGO HUMEWAFIKIA WATU ZAIDI YA ELFU19 NA MIKOA ZAIDI YA MIKOA 22 HAYA YAMESEMWA NA MENEJA MAWASILIANO WA TIGO WEINDE SHISAELI.
NAE MKULUGENZI WA KAMPUNI YA JACSON GROUP AMETOA WITO KWA WAANDISHI WA VITABU WAUNGANE NAO NA WANAFUNZI WATUMIE FULSA HII KWANI ITAWASAIDIA KUFANYA VIZURI KWENYE MASOMO YAO NA KUFIKIA LENGO LA TAANZANIA KUWA NCHI YA VIWANDA HAYO YAMESEMWA NA KEVINI TWIKA MKULUGENZI WA KAMPUNI YA JACSON GROUP HUZINDUZI HUU HUMEFANYIKA MAKAO MAKUU YA TIGO YALIOPO MAKUMBUSHO JIJINI DAR ES S ALAAM
Sunday, 9 April 2017
KATIBU MKUU WA CUF MAALIM SEIF ASHTUKIA MPANGO WA KUTAKA KUMUONSOA MADARAKANI KUPITIA RITA
Saturday, 8 April 2017
MKUTANO WA KAMATI ZA BUNGE WAFANA JIJINI DAR ES SALAAM
ZIARA YA KAMATI ZA BUNGE KWA MIRADI MBALIMBALI YA MAJENGO
MKUTANO WA TPDC
Subscribe to:
Posts (Atom)