OSENI ZUBERI MAVUMBA amesema haya kwenye maafari ya kidato cha sita ya shule yatambaza ya kiislam wapime afya zao kabla ya mitiani itakayo anza tarehe 2 mwezi 5 elfu 2017 ili waweze kufanya vizuri kwenye mitihani yao na wasome kwa bidii pia waweze kudumisha upendo kwenye jamii. habari picha na VICTORIA STANSLAUS
No comments:
Post a Comment