Wednesday, 19 April 2017

KAMSHNA WA UHAMIAJI ATOA SIKU 90 KWA WAAJIRI KUAKIKI VIBARI VYA WAFANYAKAZI WAO

Tamko hilo amelitoa baada ya uzinduzi wa mfumo wa uhakiki wa vibari vya wafanyakazi wa kigeni doctar ANA PITA MAKAKALA amesema endapo awatajitokeza kuakiki watawaburuza mahakamani na ametoa wito kwa makampuni pamoja na taasisi wasiwatumie mawakala kupata vibari vya wafanya kazi wa kigeni na watatoa elimu kupitia vyombo vya habari  jinsi ya kutumia mfumo huu umezinduliwa jijini dar es salaam kwenye ofice za uhamiji zilizopo kurasini.                           habari picha na  ALLY THABITI

No comments:

Post a Comment