Tuesday, 25 April 2017

WFP WAINGIA UBIA NA TRL

Mkurugenzi wa shirika la Reli Masanja Kadogosa akizungumza na wanahabari kuhusu mpango mpya wa kusafirisha mazao ya mahindi kwa kushirikiana na Shirika la Chakula Duniani WFP na kwa kuanza watasafirisha tani elfu saba kutoka Dar es salaama kuelekea Dodoma huku mzoigo huo ukiwa na thamani ya dola thelathini sawa na milioni moja shilingi za kitanzania. Picha na Ally Thabit

No comments:

Post a Comment