Tuesday, 25 April 2017

MUFTI MKUU AWATAKA WATANZANIA WAWE MABALOZI WAKUKEMEA DAWA ZA KULEVYA

Mufti mkuu wa Tanzania Abubakary Zubery akiongea na wadau mbalimbali waliojitokeza kwenye kongamano la kupinga dawa za kulevya na kuwataka watanzania wote wawe mstari wa mbele kupinga matumizi ya dawa hizo pamoja na biashara haramu inayohusu mihadarati huku akiwapongeza viongozi mbalimbali walio mstari wa mbele katika kukemea dawa haramu za kulevya.

No comments:

Post a Comment