Meya wa temeke amempongeza diwani FERA wa kata ya kirungule kwakuzindua na kuanzisha kampeni ya tujuane natufaamiane ili tusaidiane ili kuweza kutatua changamoto za wananchi kwa haraka na kuweza kuibua vipaji vya vijana wa kata yake na kuwawezesha kuwakutanisha na wadau mbalimbali ili waweze kupata ajira meya ABDALA JAFARI CHAULEMBO amewapongeza wananchi kujitokeza kwa wingi kwenye tamasha la leo na amesisitiza zoezi la kuibua vipaji litakuwa endelevu kwenye wilaya ya temeke amewataka wananchi wachangamkie fulusa kwenye matamasha yote uzizinduzi huu umefanyika kata ya kirungule wilaya ya temeke jijini dar es salaam
habari picha na ALLY THABITI
No comments:
Post a Comment