Tuesday, 11 April 2017

TIGO YAZINDUA HUDUMA YA KITABU APU

KAMPUNI TIGO KWAKUSHILIKIANA NA KAMPUNI YA JACSON GROUP  HUDUMA HIYO ITAWEZESHA WATU KUSOMA VITABU KWA KUTUMIA MTANDAO
WA SIMATI PHONE KWA GHARAMA NAFUU KWA SH500 HADI ELFU5000 MTANDAO HUU WA TIGO HUMEWAFIKIA WATU ZAIDI YA ELFU19 NA MIKOA ZAIDI YA MIKOA 22 HAYA YAMESEMWA NA MENEJA MAWASILIANO WA TIGO WEINDE SHISAELI.

NAE MKULUGENZI WA KAMPUNI YA JACSON GROUP AMETOA WITO KWA WAANDISHI WA VITABU WAUNGANE NAO NA WANAFUNZI WATUMIE FULSA HII KWANI ITAWASAIDIA KUFANYA VIZURI KWENYE MASOMO YAO NA KUFIKIA LENGO LA TAANZANIA KUWA NCHI YA VIWANDA HAYO YAMESEMWA NA KEVINI TWIKA MKULUGENZI WA KAMPUNI YA JACSON GROUP HUZINDUZI HUU HUMEFANYIKA MAKAO MAKUU YA TIGO YALIOPO MAKUMBUSHO JIJINI DAR ES S ALAAM

No comments:

Post a Comment