Saturday, 15 April 2017

SHEE ARU AMEWASII WANAFUNZI WAKIDATO CHA SITA WAWE NA MAADILI MEMA

Haya amezungumza kwenye maafari ya kidato cha sita shule ya sekondari tambaza ya kiislam shee ARU amewataka wafunzi waweze kujitambua;wajitolee kwenye shuguri mbalimbali za kijamii  na waweze kutoa elimu walioipata kwa wengine.           habari picha na ALLY THABITI

No comments:

Post a Comment