Tuesday, 25 April 2017

UVCCM WAKANUSHA UVUMI KUHUSU FIGISUFIGISU ZA UTEUZI WA JOKATE

Katibu mtendaji wa UVCCM Shaka Hamdu Shaka akitolea ufafanuzi kuhusu habari za uzushi kuhusu uteuzi wa Jokate Mwegelo aliyekaa upande wa kushoto kuwa mwenyekiti wa uenezi na uhamasishaji wa vijana wa ccm na pia akielezea mafanikio ya miaka 53 ya muungano wa Tanganyika na Zanzibar ikiwemo suala zima la kuimarika kwa demokrasia na maendeleo ya kiuchumi na kuimarisha idara mbalimbali ndani ya ofisi ya UVCCM.

No comments:

Post a Comment