Saturday, 22 April 2017

C- SEMA YAZINDUA RIPOTI YA MRADI WA ELIMU YA KIRAIA JINSI YA KUPATA HUDUMA KWENYE HALMASHAURI KWA NJIA YA SIMU

 
Mkurugenzi wa c-sema amesema ripoti imebaini changamoto mbalimbali kwenye halmashauli hapa nchi zikiwemo ndoa za utotoni;mirathi; mimba za utotoni; mirathi;migogoro ya ardhi pamoja na upatikanaji wa vyeti vya kuzaliwa JOELI KIIYAamesema mradi huu umefanyika kwenye wilaya zifuatazo shinyanga; kiera; bagamoyo; kahama;karagwe;chalinje pamoja na maswa ametoa wito jamii iweze kutumia elimu ya uraia kupata huduma kwenye halmashauri    hili waondokane na migogoro ya ardhi; ndoa za utotoni na changamoto zingine .                habari picha na ALLY THABITI

No comments:

Post a Comment