Waziri mkuu wa Tanzania akitoa pongezi kwa baraza la waislamu Tanzania BAKWATA kwa kuitisha kongamano lakupinga matumizi na biashara ya dawa za kulevya na akizitaka taasisi nyengine za kidini wafanye makongamano kama haya ili kuweza kuwanusuru vijana na athari zitokanazo na dawa hizo za kulevya huku pia wakitumia mikutano ya hadhara kuonya matumizi ya dawa hizo ambazo ni adui wa nguvu kazi ya Taifa. |
No comments:
Post a Comment