Saturday, 15 April 2017

RISARA YAZUNGUMZIA CHANGAMOTO ZA SHULE YA SEKONDARI TYA TAMBAZA YA KIISLAM

Uchache wa walimu; vitabu vya kusomea; vifaa vya kufundishia pamoja na uchache wa madarasa ni changamoto ambazo zipo kwenye shule ya sekondari ya tambaza ya kiislam haya yamebainishwa na mwanafunzi wa kidato cha sita licha ya kukabiliwa na changamoto wameweza kupata mafanikio ya kufauru vizuri nakuweza kuwasaidia wanafunzi wanao kosa maitaji muhimu ikiwemo sale za shule;vitabu pamoja na madafutariwakati anamkabidhi lisala mgeni lasmi anamuomba kutatua changamoto zinazo wakabili.shule ya sekondari tambaza ina jumla ya wanafunzi 310 kidato cha tano160 na walioitim kidato cha sita leo hii ni 150      habari picha na ALLY THABIT

No comments:

Post a Comment