Saturday, 22 April 2017

AFSA MAWASILIANO WA C-SEMA AELEZA JUU YA UTOAJI UJUMBE KWA NJIA YA SIMU

ITANISIA VISENTI afsa mawasiliano wa c-sema amesema kwenye wilaya ambako mradi ulipita wamekusanya maoni kwa kutumia simu ya mkononi ambako wayu waliandika ujumbe mbalimbali na ameziomba halmashauri zingine mradi huu ukipita watoe ushirikiano aya amezungumza kwenye uzinduzi wa ripoti kwenye hotel ya count youdy jijini dar es salaam            habari picha na ALLY THABITI

No comments:

Post a Comment