Tuesday, 24 March 2020

WANASIASA WAIPA TANO TUME YA UCHAGUZI TANZANIA

John Shibuda Mwenyekiti wa Chama cha TADEA na Mwenyekiti wa Baraza la Vyama vya Siasa Tanzania ameipongeza Tume ya Taifa ya Uchaguzi Tanzania kwakuwa wawazi na Kwa kuwashirikisha viongozi wa vyama vya Siasa katika maendeleo ya hatuwa ya uandikishaji wa wapiga Kura kwenye daftari la kudumu la wapiga Kura John Shibuda ametoa wito Kwa watanzania kujitokeza Kwa wingi tarehe 17 mwezi 4 kwenye maboresho ya pili ya daftari la kudumu la wapiga Kura huku akiwataka wanasiasa kuamasisha watu wajitokeze Kwa wingi mpaka sasa watanzania milioni30 wamejiandikisha kwenye daftari la kudumu la wapiga Kura

Habari picha na Ally Thabit

Friday, 20 March 2020

NCCR MAGEUZI YAKISAMBARATISHA CHAMA CHA CHADEMA

Aliyekuwa Mwenyekiti wa chama cha  CHADEMA upande wa Vijana (BAVICHA) mwenye kadi namba 43860  Yuda Paulo Nguti amesema ameamuwa kutoka chama cha CHADEMA na kujiunga chama cha NCCR  Mageuzi kwani CHADEMA Akuna uhuru wa kidemokrasia na haki ya kusikilizwa hii inatokana baada ya kukatwa jina lake wakati akiwania nafasi ya uwenyekiti BAVICHA hakupewa furusa ya kuojiwa wala kupewa sababu ya kukatwa kutokana na ivyo ameamuwa kuingia chama cha NCCR Mageuzi kwani ni chama makini hakina migogoro na kinasimamia demokrasia ya kweli


Habari picha na Ally Thabit

Thursday, 19 March 2020

CORONA YAITAFUNA CHAMA CHA CUF

Mwenyekiti wa chama cha wananchi CUF prof Hibraim Aluna Lipumba  amesema wameamua kusitisha ziara ambazo zolitakiwa wafanye kwenye mkoa wa Pwani,Lindi,Mtwara ,Ruvuma na mkoa mingineyo kwa upande wa Tanzania  visiwani CUF walitaka kufanya ziara Unguja na Pemba virus vya ugonjwa wa CORONA  ambavyo vinaongoza idadi kubwa ya vifo Duniani na sasa virus vya ugonjwa huu vipo nchini Tanzania na mpaka sasa watu6 wamegundulika kuwa na virus vya ugonjwa wa CORONA ndio maana chama cha wananchi CUF kimeamuwa kusitisha mikutano yake yote ya hadhara Lengo kuepusha maambukizi kwani ugonjwa huu uambukiza kwanjia ya hawa na kugusana Mwenyekiti ametoa wito kwa viongozi wa dini waendelee kuomba ugonjwa huu utoweke Tanzania

Habari picha na Ally Thabit

Tuesday, 17 March 2020

TAKUKURU YAOKOA MABILIONI YA FEDHA

Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa taasisi ya kuzuia na kupambana na Rushwa (TAKUKURU) John Mbungo amesema wameweza kuokoa kiasi cha bilioni 8.5 fedha ambazo zilizo ibiwa na wana Ushirika kati ya bilioni 124  Pia amesema Temeke,Kinondoni,llala na Njombe ni mkoa vinara kwa kuina fedha za Ushirika  John Mbungo ametoa wito watu kutoa taarifa kwa kupinga simu kupitia 113 piga bure


Habari picha na Ally  Thabit

NCCR MAGEUZI YAWATAHADHARISHA WATANZANIA DHIDI YA COVID-19(CORONA)

Mwenyekiti wa chama cha NCCR Mageuzi na ni mtaalam wa Majanga amewatata watanzania kutekeleza kwa vitendo maagizo yanayotolewa na serikali katika kujikinga na ugonjwa wa COVID-19 (CORONA) ametoa wito kwa serikali waweze kutoa taarifa mara kwa mara na wateja elimu kwenye Masoko na kwenye Mipaka James Francis Mbatia amewataka watanzania kuweka tofauti zao pembeni ivyo waungane katika kutokomeza janga hili la COVID-19 (CORONA) pia amewataka watanzania kuacha kuandika habari za uongo ametoa wito kwa serikali kuwatumia wataalam wa Majanga

Habari picha na Victoria  Stanslaus

Saturday, 14 March 2020

TGNP MTANDAO YAHAIDI MAZITO KWA MABINTI


Mkurugenzi Mtendaji wa TGNP Mtandao Riliani Lihundi amesema kwakushirikiana na taasisi ya Binti Makini wataendelea kuwajengea uwezo Mabinti waliokuwa vyuoni katika kujitokeza kugombea nafasi za uongozi ususani kipindi hichi cha uchaguzi mkuu Pia TGNP Mtandao wamefunguwa milango Kwa Mabinti watakao jitokeza kumbea nafasi za Udiwani,Ubunge na Urais wataendelea kuwajengea uwezo bule  Mkurugenzi Riliani Lihundi ametoa rai kwa Mabinti wajiamini na wasikubali kukatishwa tamaa katika kuwania nafasi za uongozi uku akiwataka Mabinti watumie mitandao ya kijamii kupinga maswala ya ukatili wa kijinsia Kwa kutoa taarifa Kwa Jeshi la Polisi


Habari picha na Victoria Stanslaus

MBUNGE KIJANA AWAFUNDA MABINTI

Galina Abdullah Mujula Burembo amewataka Mabinti wa kitanzania waondoe ofu na mashaka wajitokeze Kwa wingi kugombea nafasi za Ubunge na Udiwani kwenye uchaguzi wa mwaka 2020 amesema haya kwenye kongamano lililo andaliwa na taasisi ya Binti Makini na TGNP Mtandao ambako Mabinti zaidi 400 wameshiriki kutoka vyuo 11


Habari picha na Victoria Stanslaus

MKURUGENZI WA BINTI MAKINI AWAASA VIJANA

Janeti John Mkurugenzi wa taasi ya Binti Makini amewataka vijana waliopo vyuoni na wasiokuwa vyuoni kutumika mitandao ya kijamii katika kupinga maswala ya kijinsia na kuelimisha jamii kwani wakitumia vibaya mitandao ya kijamii itawaaribia Maisha Yao katika kupata kazi amesema haya kwenye kongamano la kuwajengea uwezo Mabinti katika maswala ya Uongozi na kugombea nafasi mbalimbali kwenye uchaguzi mkuu wa mwaka 2020 ambako jumla ya Mabinti 400 kutoka kwenye vyuo 11 wameshiriki kwenye kongamano lililofanika kwenye viwanja vya NIT



Habari picha na Victoria Stanslaus

SHULA DIRECT YAPIGANIA ELIMU JUMUISHI


Iku kutoka Shuledirect amewataka watanzania kuweza kuamasishana katika maswala ya elimu jumuishi kwani watoto wenye uhitaji wamesaaurika katika kupata elimu bora


Habari picha na Victoria Stanslaus

Thursday, 12 March 2020

CUF YAMSHAURI MSAJILI


Mwenyekiti wa CUF prof lbrahim Aluna  Lipumba amemtaka Msajili Franseci Mutungi atumie busala wakati wa ukaguzi wa vyama vya Siasa ili Kila Chama kipate furusa ya kushiriki uchaguzi mkuu2020 uku akihaidi kutoa ushirikiano Kwa Ofisi ya Msajili wa vyama vya Siasa


Habari picha na Victoria Stanslaus

MSAJILI WA VYAMA VYA SIASA AWATOA OFU WATANZANIA

Msajili amewatoa ofu wanasiasa kuwa hakuna Chama kitacho futwa kwaajili ya kukaguliwa kwani yeye Msajili Franseci Mutungi anaitaka vyama vya Siasa kutekeleza Sheria ya vyama vya Siasa pia amesema Chama kitakachokiuka kanuni taratibu na Sheria kitacho atuwa Kali Franseci Mutungi amesema tarehe 17 ya mwezi 3 2020 Ofisi yake itaanza kukaguliwa vyama vya siasa

Habari picha na Victoria Stanslaus

MKURUGENZI WA BODI YA SUKARI ATOA NENO WIKI YA UBUNIFU

Prof Kenethi Benjese Mkurugenzi wa bodi ya sukari amewataka watanzania kujitokeza Kwa wingi kwenye jengo la LAPF waweze kupata elimu na kujifunza maswala ya ubunifu pia amesema ubunifu utasaidia kukuza nakuimarisha sekta ya kilimo ambako itasaidia kukuza viwanda vya Tanzania


Habari picha na Victoria Stanslaus

Thursday, 5 March 2020

KATIBU WA JUKWAA LA WAHARIRI ATOA YA MOYONI

Katibu wa Jukwaa la wahariri Tanzania ambae nae ni muhariri kutoka kampuni ya Mwananchi Comunication Ltd Nevil Meena awapongeza TCRA Kwa utendaji wao wa kazi  na  hukuakitoa  Ombi la kuwepo Kwa waandishi ambao  watakaobobea kwenye uhandishi wa maswala mazima ya mawasiliano


Habari picha na Ally Thabiti

TCRA YAWATAKA WATU WAJITOKEZE KWA WINGI

Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) James M. Kilaba amewataka wamiriki wa mitandao ya kijamii hususani wenye reseni za TCRA wajitokeza Kwa wingi kuchua fomu za tuzo za TEHAMA kwani Lengo la TCRA kutoa tuzo ni kuongeza ubunifu  na kukuza uchumi katika Utangazaji ambako mwisho wa kutoa fomu ni tarehe 15 mwezi 3 na tarehe 16 ya mwezi wa 3 wananchi watapata fulusa ya kupiga Kula na ifikapo tarehe 15 ya mwezi wa 5 tuzo zitatolewa Kwa washiriki wote amesema haya alipokutana na wahariri wa vyombo vya habari na waandishi waandamizi makao makuu ya TCRA jijini Dar es salaam


Habari picha na Ally Thabiti

Tuesday, 3 March 2020

MWENYEKITI WA NCCR MAGEUZI AWATAKA WATU KULEJEA KWENYE CHAMA CHAKE

Jemsi Mbatia Mwenyekiti wa Chama cha NCCR Mageuzi amewataka wale wote walio ama Chama cha NCCR Mageuzi waludi ndani ya Chama kwani mambo nimazuri pia Jemsi Mbatia amewakemea watu wanaomtukana kwenye mitandao ya kijamii na amewataka waache iyo Tabia  mala moja Mwenyekiti amesema Chama chake kuanzia tarehe 4 ya mwezi wa tatu 2020 wanaanza Ziara Mbeya, Kigoma na Shinyanga

Habari picha na Ally Thabiti

Monday, 2 March 2020

WATU WAISHIO NA VIRUSI VYA UKIMWI WATOA MIKAKATI MIZITO KWA SERIKALI

Pichani WAVIWI wakitoa mapendekezo Kwa serikali kutenga bajeti katika kutatua changamoto za WAVIWI pia wakiitaka serikali kusambaza Dawa mpya za kufubaza virusi vya Ukimwi wamesema Aya kwenye kirere cha kupinga Unyanyapaa na ubaguzi Kwa WAVIWI ambako uazimishwa Kila ifikapo tarehe 2 ya mwezi 3 Duniani kote

Habari picha na Ally Thabiti

NAIBU WAZIRI WA TANZANIA ATANGAZA VITA KALI

Stera Ikupa Naibu Waziri wa Ofisi ya Waziri Mkuu inayoweza vijana,kazi Ajira na watu wenye ulemavu amewataka watanzania kuacha mala moja kuwanyanyapaa ,kuwabaguwa na kuwatenga watu wenye virusi vya Ukimwi (WAVIWI) pia ameipongeza Baraza la WAVIWI Kwa kutoa elimu ya kujikinga na maswala ya Ukimwi na kuamasisha watu kujitokeza Kwa wingi kupima virusi vya Ukimwi na kuwaimiza watu kutumika vidonge vya ARV na wamefanikiwa Kwa kiasi kikubwa kutoa elimu kwenye halmashauri 176 ametoa wito Kwa Baraza la WAVIWI kuwafikia watu wenye ulemavu amesema Aya kwenye kirere cha siku ya kupinga unyanyapaa na ubaguzi Kwa  (WAVIWI) ambako uazimishwa Kila ifikapo tarehe 2 ya mwezi 3 Duniani kote


Habari picha na Ally Thabiti

Sunday, 1 March 2020

ANNAHL TRUST YAWACHOCHEA VIJANA WA KITANZANIA

Taasisi ya ANNAHL TRUST imeamua kutoa zawadi Kwa wanafunzi walizofanya vizuri kidato cha nne na kidato cha Sita kwenye mitihani ya Taifa Kwa zaidi ya miaka Kumi Lengo kuamasisha na kuwatia Moyo ili wafaulu vizuri amesema Aya Kwa niaba ya Mkurugenzi Mkuu wa taasisi ya ANNAHL TRUST Hamza Jabir pia amesema uchochezi walizofanya imepelekea vijana wengi kufaulu kwa alana za juu kwenye masomo yao


Habari picha na Ally Thabit