Sunday, 4 July 2021

PATRICK KITOSI AWATAKA WATU KUTUMIA ASALI

 



PATRICK KITOSI wa VETA dakawa anaishukuru VETA kwakumpa ujuzi wanamna ya kulina asali na namna ya kuhifadhi pia veta dakawa imempa ujuzi namna ya kutengeneza mashine ambazo zinatengeneza sumu yakutibu wagonja ya Kansa na neva ambazo zinauzwa laki tano na laki saba pia kunamavazi pamoja na mizinga na mashine ya kulina asali VETA DAKAWA wanauza hivyo wamewataka watu kutembelea kwenye maonyesho ya 45 kwenye banda la VETA ndani ya viwanja vya sabasaba.

kwa mawasiliano 0713783125

Habari picha na Ally Thabith



VETA YAJA NA MWARUBAINI WA UGONJWA WA UTI

 

ALLY ISSA Mwalimu wa maabara chuo cha ufundi stadi VETA  chang'ombe Dar es Salaam amesema ugonjwa wa UTI umekuwa ugonjwa sugu na hatari nchini Tanzania hivyo yeye ameamua kuja na dawa ambayo inasaidia kwa kiwango kikubwa kutibu ugonjwa huu wa UTI mpaka sasa mkoa wa Dodoma na Dar es Salaam dawa hi imetumika katika kutibu maswala ya UTI na mafanikio ni makubwa pia TMDA imesema watanzania na wasio watanzania waitumie dawa ya aina ya TOILET SEAT SPRAY DISINFECTANT kwani ni nzuri na inauwa bacteria ya UTI amewataka watu kutembeleea banda la veta kwenye maonyesho ya 45 ndani ya viwanja vya sabasaba.

Habari picha na Ally Thabith 




MWANDISI BUGALAMA KULWA ATOA MOYONI KWA SIDO

 



BUGALAMA KULWA kutoka kionda Morogoro anaishukuru SIDO kwa kumpa elimu na ujuzi kwa namna ya kutengeneza mashine za aina mbalimbali ambako imemsaidia kufungua kampuni inayo itwa INTERMECH COMPANY LIMITED hivyo anawaomba SIDO waendelee kutoa ujuzi kwa vijana wote Tanzania, pia ametowa wito kwa vijana kujitokeza kwa wingi SIDO ili kuchangamkia fursa Mbalimbali kwa wanaohitaji mashine zake wampigie kupitia 0756374849. au watembelee viwanja vya maonyesho ya sabasaba


Habari picha na Ally Thabith 



SIDO YAMUUNGA MKONO RAISI SAMIA SURUHU HASSAN

 


SEBASTIAN MROPE MSIMAMIZI WA TEKNOLOJIA NA UBUNIFU SIDO

Amesema katika kumuunga mkono Raisi Samia Suruhu Hassan SIDO inafanya ubunifu wa Teknolojia Mbalimbali zikiwemo Teknolojia ya usindikaji wa mazao ya kilimo kwa kubuni mashine mbalimbali, pia SIDO inatoa elimu kwa watanzania namna ya kuunda na kutengeneza mashine.

Mpaka sasa SIDO inavituo vya kuendeleza Teknolojia kwenye Mikoa Saba ikiwemo Mkoa wa Lindi ambako kuna machine za kubwangua korosho, kusindika mihogo, na Chumvi, Pia Iringa Kuna mashine za mafuta za mbegu mbalimbali, Mbeya kuna mashine za mahindi, Kigoma kuna mashine za kutengeza mafuta ya mawese, Arusha Mashine za Mbao, Shinyanga Mashine za Ngozi na Kilimanjaro mashine za matunda.

Sebastian Mrope amesema lengo la SIDO kuwasaidia watanzania waweze kutengeneza bidhaa bora ili wajikwamue kiuchumi. Hivyo amewataka watu kutembelea banda la SIDO kwenye maonyesho ya 45 viwanja vya sabasaba.


habari picha na Ally Thabith



ALLY DAHAL AIPONGEZA SIDO

 



Fundi wa kutengeneza mashine za kutengeneza mifuko mbadala ameipongeza SIDO kwa kumpa ujuzi wa namna ya kutengeneza mashine ambako imemsaidia kwa kiasi kikubwa kujikwamua kiuchumi kwa kuuza mashine hizi pia imemsaidia SIDO kwa kumtafutia masoko yakuuza mashine na mifuko mbadala anayoitengeneza awewataka watanzania na wasio watanzania kutembelea banda la SIDO viwanja vya sabasaba kwenye maonyesho ya 45 ametoa wito kwa watu kujiunga na SIDO ili waweze kujikwamua kiuchumi.

Habari picha na ALLY THABITH





 


THRDC YAJA NA MKAKATI MZITO
ONESMO ELI NGULUMO, mkurugenzi mtendaji wa THRDC amesema katika kutimiza miaka saba mtandao wa tetezi wa haki za kibinadam wamweza kufanikiwa kutatua changamoto za ukatiri wa kijinsia katika jamii wa kitanzania, sasa wanamkakati wakuweza kuwasaidia watanzaniakuondokana na ukatili wa kitanzania kwa kubuni mbinu za kujinusuru na umasikini nae naibu waziri anaeshughulikia maswala ya ulemavu UMMY NALIANANGA amewapongeza THRDC kwa kutimiza miaka saba na kuzindua mpango mkakati wakukabiliana na maswala ya ukatili wa kijinsia kwa upande wake waziri wa katiba na sheria PRO. PALAMAGAMBA KABUDI amezitaka asasi za kiraia nchini kuwa na mifumo ya kuinua wananchi kiuchumi ametoa wito kwa THRDC kuungana na serikali katika kuwa kwamua wananchi kiuchumi pia amesema serikali imefungua milango kwa asasi za kiraia.

Habari picha na Ally Thabith




Thursday, 1 July 2021

PLUS TV YAJA KUINUA MICHEZO

 Meneja wa Vipindi  wa  Plus TV ISaya Kandonga amesema tare he 27 mwezi 8 Mwaka 2021 na tarehe 28 mwezi mwaka 2021 watazinduwa Jukwaa Litakalo zungumzia jinsi ya kutatuwa changamoto kwenye Michezo linaloitwa exspo.

Ambako  nchi Zaidi ya 8 zitashiriki ikiwemo Kenya ,Romania,Rwanda,Tanzania na zinginezo.Jukwaa ili litaoneshwa kupitia Plus TV kwenye king'amuzi cha Dstv namba 294.

 Nae Mkurugenzi wa Bodi ya Ligi Almas Kasongo amewapongeza Plus TV Kwan wataongeza uelewa wa mikataba ya wachezaji nakukuza uchumi kwa kupitia Michezo .


Nae Esta Maongezi amewataka wadhamini kujitokeza kwa Wingi ili Jukwaa ili lifanikiwe.

Habari na Victoria Stanslaus


 exspo.Ambako nchi Zaid ya 8 zitashiriki  ikiwemo Kenya


 


Ambako