Tuesday, 16 April 2024

WADAU WA USAFIRISHAJI MAJINI WAKUTANA

 Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi kutoka Zanzibar amewataka wadau wa sekta ya usafirishaji majini  waweze kueleza  changamoto  zinazowakabili wakati wakitimiza majukumu yao majini . 

Swala la mabadiliko ya hali ya hewa Baharini,mito na maziwa imekuwa kikwazo na kilio kwa wasafiri na kupelekea vivuko,merit,maboti na majahazi kuzama na kupelekea vifo kwa wasafiri na kupotea kwa Mali na kuaribika vyombo ya safari.

Waziri  Ali Saluum kutoka zanzibar amezitaka nchi za kiafrica kuchukua taadhari tabla ya kusafiri . Maswala ya kutekwa kwa meri imekuwa kilio kwa wamiliki wa meri , Ivyo amewataka viongozi wa Africa na wamiliki wa meri waungane na kuweka nguvu ya pamoja .

Kupitia semina hii  ilikutokomeza swala hili amesema haya kwenye seminar on Africa ferry safety iliyofanyika jijini dar es salaam 

Habari na Ally Thabit


KATIBU MKUU AIPONGEZA TIC

 Greison Msingwa Katibu Mkuu wa Wizara ya michezo,Sanaa na Utamaduni amekipongeza kituo cha uwekezaji TIC kwa kufanya kongamano lililojumuisha wadau wa sekta ya michezo,Utalii na ukarimu kujadili bursa za uwekezaji kuelekea Afcon 2027.

Lengo la kongamano kuwataka wadau awa kuweza kutoa huduma zilizo bora na nzuri kwa watakaoshiliki Afcon 2027. Katibu mkuu wa wizara ya michezo ameitaka TPSF wawekeze kwenye sekta ya michezo kwa kujenga mahotel pamoja na miundombinu mingine.

Kwani kupitia mashindano ya Afcon watapata faida kubwa na mafanikio mazuri kupitia uwekezaji wao . Ametoa wito kwa TIC  watafute wawekezaji ndani ya nchi na nje ya nchi wake kuwekeza kwa kasi kubwa katika ujenzi wa miundombinu ususani kwenye mahotel. 

Huku akiwaonya watumishi wa TIC wake Manaton huduma zenye ubora na rugha nzuri amesema haya  jijini dar es salaam ukumbi wa mwalimu nyerere

Habari na Ally Thabit

Sunday, 14 April 2024

YANGA YAGAWA DOZI NZITO

 Msemaji wa klabu ya yannga Ali Kamwe amesema shindig wa magoli matatu walioyapata riding ya singida f.j ni dozi tosha na ni Salam katika kuelekea mechi ya Simba na Yanga itakayofanyika 20/4/2024 kwenye simba last Benjamini mkapa .

Ali kamwe amewashukuru wanachama na wapenzi wa yanga wa jijini mwanza kwa kuwaunga mkono mpaka kupata shindig wa magoli 3. 

Ametoa wito kwa wapenzi wa yanga kujitokeza kwa wingi kwenye mechi ya simba na yanga kwenye uwanja wa Benjamini mkapa jijini dar es salaam.

Habari na Ally Thabit

MWENYEKITI WA CHADWMA ATANGAZA KISASI KIZITO

Mwenyekiti wa vijana wa chama cha chadema John amewataka wanachadema na watanzania kujitokeza kwa winging three 22 /4/2024 mpaka three 30 ya mwezi wa 4 katika maandamano ya nchi nzima lengo nikushinikiza serikalo ya rais Samoa hiiondoe sheria kandamizi na ushushwaji wa being a vyakula ,mafuta  ,upandaji wa nauli na ukamatwaji wa watu ambao awana hatia. 

Mfano aliyekuwa kiongozi wa chadema mkoa wa njombe ndugu Sanga amble yup gerezani  kwa miaka 5 na mwenzake Omary wa mkpa wa pwani.

John ametaka uchaguzi wa serikali za mitaa usimamiwe na time hurt ya uchaguzi na sio tamisemi.

Habari na Ally Thabiti

Wednesday, 3 April 2024

DAWASA YAELEZA MAFANIKIO YA MIAKA MITATU YA RAIS SAMIA


Katika miaka mitatu ya uongozi wa Rais Dkt Samia Suluhu Hassan ameweza kwa kiasi kikubwa kutekeleza kwa vitendo kauli yake ya kumtua mama ndoo kichwani kwa mafanikio makubwa na haya yanathibitishwa na Mkurugenzi mkuu wa mamlaka ya maji Dar es Salaam Kiula Kingu amesema tangu kuingia madarakani kwa Rais Dkt Samia Suluhu Hassan wa jamuhuri ya muungano wa Tanzania ameweza kukamilisha miradi midogo na mikubwa ya maji ambako bwawa la kidunda lenye thamani ya Bilioni 345 mradi huu umesainiwa na Rais Dkt Samia Suluhu Hassan ambako bwawa hili litaweza kutoa maji kwa wingi katika mikoa ya Dar es Salaam na Pwani.

Pia kupitia Bwawa hili zitapatikana megawati 20 za umeme na kilometa 70 za barabara kwenda Ngerengere na uwepo wa Daraja Kubwa ambako itasaidia kukua kwa utarii, kilimo, upatikanaji wa samaki. Mradi wa Bilioni 72 ambao maji haya yatawafikia watu elfu 35, mradi wa maji mto Wami ambao gharama yake ni Bilioni 82, alafu mradi wa maji taka wa mbezi bichi wenye ukubwa wa kilometa 100.

Pia Rais Samia aliweza kutoa mashine za kuchimba visima saba kigamboni ambako imesaidia kwa kiasi kikubwa upatikanaji wa maji Ilala, Temeke na Kinondoni mkurugenzi mkuu wa Dawasa amesema Rais Samia amesaidia kuimalisha mifumo ya tehama ambako imesaidia kwa kiasi kikubwa ongezeko la ukusanyaji wa mpato na kuweka kamati za usimamizi wa maji kwenye mitaa na kuwezesha kupatikana kwa ajila kwa vijana wapatao elfu 680. Amesema haya makao makuu ya Dawasa Ubungo jijini Dar es Salaam.

Habari Picha na Ally Thabiti

MSAJILI WA JUMUHIYA ATANGAZA VITA

Bw. Emanuel Kiampa Msajili Mkuu wa Jumuiya wa wizara ya mambo ya ndani amewataka wato wote wenye jumuiya ambazo azijasajili wajisajili huku akiwataka wenye magroup ya Whatsapp waweze kujisajili mara moja kwa wale wote watakae kiuka maagizo na maelekezo haya atua kali zitachukuliwa zidi yao kwani kufungu cha 40 sheria namba tatu ya mwaka 2019 na sheria namba 337 iliyofanyiwa mabadiliko inawataka watu wote kusajili jumuiya zao kinyume na hapo hatua za kuwakamata wenye hizo jumuiya na kuwapeleka mahakamani na kufungiwa jumuiya hizo pia akiwataka wenye magroup ya Whatsapp kuweza kusajili magroup yao kwa shilingi laki mbili amesema haya wilayani Kigamboni mkoani Dar es Salaam kwenye kampeni ya kuhamasisha usajili wa jumuhiya pamoja na magroup ya Whatsapp.

Habari na Ally Thabiti

SHEIKH NURDEEN KISHKI KUGHALAMIA NDOA ZA VIJANA MIA MOJA

Mkurugenzi wa Taasisi ya  Taasisi ya Al- Hikma Foundation na Mwenyekiti wa Mashindano ya kuhifadhi Quruan Sheikh Nurdeen Kishki amesema atagharamia ndoa zipatazo mia moja kuanzia utoaji wa Pesa ya Mahali, Pesa ya Ukumbi pamoja na pesa ya vyakula kwa vigezo kumi kwa muoaji awe:-

1. Awe Muislamu, 2. Awe Mkazi wa Dar es Salaam, 3. Mawalii wawe wamekubali, 4. Awe na Kazi, 5. Awe Mtanzania, 6. Awe na Akiri Timamu, 7. Awe amechumbia, 8. Ajaze Fomu, n.k.  

Amesema haya Jijini Dar es Salaam.

Habari na Ally Thabiti