Bw. Emanuel Kiampa Msajili Mkuu wa Jumuiya wa wizara ya mambo ya ndani amewataka wato wote wenye jumuiya ambazo azijasajili wajisajili huku akiwataka wenye magroup ya Whatsapp waweze kujisajili mara moja kwa wale wote watakae kiuka maagizo na maelekezo haya atua kali zitachukuliwa zidi yao kwani kufungu cha 40 sheria namba tatu ya mwaka 2019 na sheria namba 337 iliyofanyiwa mabadiliko inawataka watu wote kusajili jumuiya zao kinyume na hapo hatua za kuwakamata wenye hizo jumuiya na kuwapeleka mahakamani na kufungiwa jumuiya hizo pia akiwataka wenye magroup ya Whatsapp kuweza kusajili magroup yao kwa shilingi laki mbili amesema haya wilayani Kigamboni mkoani Dar es Salaam kwenye kampeni ya kuhamasisha usajili wa jumuhiya pamoja na magroup ya Whatsapp.
Habari na Ally Thabiti
No comments:
Post a Comment