Wednesday, 17 April 2024

KIKOSI CHA USALAMA BARABARANI CHAWEKA MAMBO ADHARANI

 Naibu Kamishna wa Kikosi cha Usalama Barabarani Tanzania Ramadhani Ng'anzi amesema rais Dr Samia kwa miaka mitatu ameweza kupunguza ajali kwa kiwango kikubwa Tanzania huku akilejesha mabasi kusafili usiku ambako mwaka 1990 mabasi yalisimamishwa kutosafili usiku.

pia kiwango cha pesa kinachokusanywa kutokana na makosa yanayofanywa na madereva barabarani amesema haya makao makuu ya police usalama barabarani jijini dar es salaam. 

Habari na Ally Thabit 


No comments:

Post a Comment