Tuesday, 23 April 2024

ASKOFU DR PETER AIMIZA MAOMBI KWA RAIS DR SAMIA


 Mkurugenzi  wa Taasisi ya Kumuombea rais Dr Samia askofu dr Peter Rashidi amewataka viongozi wote wa kidini Tanzania wafanye maombi usiku na mchana kama inavyofanya taasisi yake lengo ili mungu amlinde na maadui,amuepushe na mitosis na aweze kufanya maamuzi yenye hekima na busala.

Ametoa wito kwa watanzania kuendelea kutunza na kuilinda amanita iliopo pia waendelee kuombea muungano wa nchi yetu uendelee kuhimarika

Amesema haya jijini dar es salaam kwenye maombezi na dua yakuombea taifa na miaka60 ya muungano.

Habari picha na  Ally Thabit 


No comments:

Post a Comment