Tuesday, 16 April 2024

KATIBU MKUU AIPONGEZA TIC

 Greison Msingwa Katibu Mkuu wa Wizara ya michezo,Sanaa na Utamaduni amekipongeza kituo cha uwekezaji TIC kwa kufanya kongamano lililojumuisha wadau wa sekta ya michezo,Utalii na ukarimu kujadili bursa za uwekezaji kuelekea Afcon 2027.

Lengo la kongamano kuwataka wadau awa kuweza kutoa huduma zilizo bora na nzuri kwa watakaoshiliki Afcon 2027. Katibu mkuu wa wizara ya michezo ameitaka TPSF wawekeze kwenye sekta ya michezo kwa kujenga mahotel pamoja na miundombinu mingine.

Kwani kupitia mashindano ya Afcon watapata faida kubwa na mafanikio mazuri kupitia uwekezaji wao . Ametoa wito kwa TIC  watafute wawekezaji ndani ya nchi na nje ya nchi wake kuwekeza kwa kasi kubwa katika ujenzi wa miundombinu ususani kwenye mahotel. 

Huku akiwaonya watumishi wa TIC wake Manaton huduma zenye ubora na rugha nzuri amesema haya  jijini dar es salaam ukumbi wa mwalimu nyerere

Habari na Ally Thabit

No comments:

Post a Comment