Thursday, 18 April 2024

VODACOM YATOA MABILIONI YA PESA

 Aneti Kanola wa Vodacom amesema wametoa milioni Mia mbili 200 kwa taasisi ya Think Equal, Lead Smart Leadership has no gender . Lengo kuleta mabadiliko ya sera ,kubadili mira na destuli potofu juu ya mwanamke kuwa kiongozi na kumwezesha mwanamke kujikwamuwa kiuchumi.

Ambako asilimia 60% ya wanawake wanajishuulisha na kilimo lakini uchumi wao upon chini. Aneti Kanola amesema mradi huu utakuwa wa miaka 3 na vodacom itaendelea kutoa elimu kwa wanawake ili wapate nafasi  za    uongozi ili wajikwamuwe kiuchumi.

Asilimia 43 ya wafanyakazi wa vodacom ni wanawake na pia wamewezakuweka  mazingira wezeshi kwa wanawake wakati wa kujifungua na baada ya kujifungua amesema haya kwenye uzinduzi wa kampeni ya kuleta mabadiliko wanawake kushika nafasi za uongozi  jijini dar es salaam  kilimanjaro hotel. 

Habari na Ally Thabit 

No comments:

Post a Comment