Safari Meha wa Ubungo amesema kwa miaka mitatu3 ya rais Dr Samia ameweza kutoa fedha za ujenzi wa shule za msingi na secondary kwenye wilaya ya ubungo . Pia ameraisisha upatikanaji wa maji ubungo na kibamba ukilinganisha na mmiaka ya nyuma.
huku akibainisha kuwa miundombinu ya Barabara pamoja na makaravati vimekamilika na kuwezesha ubungo kufikika kwa uraisi na kuimarima kwa masoko.
Ambako kumepelekea watu kujiajili na kuajiliwa . Mega Jafari ametoa wito kwa watanzania waendelee kumuunga mkono rais samia kwa kazi kubwa anayoifanya amesema haya kwenye Iftar iliyoandaliwa na Dawasa jijini dar es salaam.
Habari na Ally Thabit
No comments:
Post a Comment