Tuesday, 23 April 2024

VIONGOZI WA KIDINI WAUNGA MKONO KAZI YA TGNP


 Makalu Mwenyekiti wa Kamati ya Maliziano Wilaya ya Ilala na Mchungaji Liliani amewataka wanawake nchini Tanzania kujitokeza kwa wingi kugombea na kupiga kura kwenye uchaguzi wa serikali za .

pia amewataka wanaume waache mfumo dume pamoja na mila na destuli potofu na kandamizi kwa wanawake finding wanapoitaji kugombea nafasi za uongozi  na badala yake wawaunge mkono na wawetayali kuwapa luusa wanapoitaji kugombea au kupiga kura.

Kwa niaba ya viongozi wa kidini kupitia kamati ya malidhiano wanaunga mkono na kuipongeza TGNP kwa kazi kubwa wanayoifanya ya kutoa elimu kwa watu kuondokana na dhana potofu kwa wanawake yakuamini kuwa wanawake  awawezi kuongoza na badala yake kuonesha wanawake kuwa na uwezo mkubwa wa kuongoza.

Amesema haya jijini dar es salaam wakati wa maombezi na dua ya miaka 60 ya muungano viwanja vya karimjee.

Habari picha na Ally Thabit 

No comments:

Post a Comment