Ndugu Isihaka R. Mchinjita Waziri Mkuu Kivuli
Amemtaka waziri mkuu aende Rufiji aka one vifo,Mali na ualibifu wa mazao unaotokana na mafuliko ya maji kutoka rufiji Hiku akiitaka serikali kutenga pesa ya kutosha kwaajili ya mahafa.
Waziri mkuu Kivuli wa chamade cha ACT Wazalendo ameitaka serikali uchaguzi wa serikali za mitaa usisimamiwe na tamisemi na badala yake uchaguzi usimamiwe na time huru ya uchagu.
Na sheria ya kikokotoo iweze kufanyiwa malekebisho kwani sheria iliopo sasa imekuwa mwiba mkali na mates kwa wastaafu pindi wanapoitaji pesa zao Waziri kivuli amesema haya takao makuu ya ACT Wazalendo wakati akizungumza na wanahabari jijini dar es salaam.
Habari na Ally Thabit
No comments:
Post a Comment