Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi kutoka Zanzibar amewataka wadau wa sekta ya usafirishaji majini waweze kueleza changamoto zinazowakabili wakati wakitimiza majukumu yao majini .
Swala la mabadiliko ya hali ya hewa Baharini,mito na maziwa imekuwa kikwazo na kilio kwa wasafiri na kupelekea vivuko,merit,maboti na majahazi kuzama na kupelekea vifo kwa wasafiri na kupotea kwa Mali na kuaribika vyombo ya safari.
Waziri Ali Saluum kutoka zanzibar amezitaka nchi za kiafrica kuchukua taadhari tabla ya kusafiri . Maswala ya kutekwa kwa meri imekuwa kilio kwa wamiliki wa meri , Ivyo amewataka viongozi wa Africa na wamiliki wa meri waungane na kuweka nguvu ya pamoja .
Kupitia semina hii ilikutokomeza swala hili amesema haya kwenye seminar on Africa ferry safety iliyofanyika jijini dar es salaam
Habari na Ally Thabit
No comments:
Post a Comment