Tuesday, 23 April 2024

MEA KUMBILAMOTO ATETA NA VIONGOZI WA KIDINI


 Omary Kumbilamoto Mea wa jiji la dar es salaam amewapongeza na kuwashukuru viongozi wa dini akiwemo Askofu Dr Peter Rashidi kwa kufanya maombi ya kuliombea taifa la Tanzania  kwa kutimiza miaka 60 ya Muungano . 

Ambako askofu Peter pamoja na wenzake akiwemo askofu Crement,janeti,liliani,she Adam,imams Rashidi wa pugu mnadani kwa kupitia taasisi ya kumuombea rais Samia wamefanya maombezi na dua viwanja vya Kariimjee lengo rais Dr samia ,waziri mkuu kasimu majolica,makalu wa rais,Barbara la mawaziri,wakuu wa mikoa ,wakuu wa wilaya,wakurugenzi,mama na viongozi wote mungo awaepushe na shari na mikosi na awape moyo thabiti wa kuongoza nawawe na maamuzi mazuri na sahihi.

Mea kumbilamoto amesema kipindi cha miaka 3 rais Dr Samia ameweza kuleta maliziano ya kisiasa,kukamilisha miradi ya kimkakati mfano ujenzi wa mwalimu nyerere, Sgr ,daraja la kigongo busisi mwanza na ujenzi wa maharaja kuanzia msingi,secondary na vyuo vya kati.

Amewataka viongozi wa dini zote waendelee kumuombea rais Dr Samia katika uongozi wake amesema haya jijini dar es salaam  katika kuliombea taifa kwa kutimiza miaka60 ya muungano .

Habari picha na Ally Thabit 

No comments:

Post a Comment