Mwenyekiti wa vijana wa chama cha chadema John amewataka wanachadema na watanzania kujitokeza kwa winging three 22 /4/2024 mpaka three 30 ya mwezi wa 4 katika maandamano ya nchi nzima lengo nikushinikiza serikalo ya rais Samoa hiiondoe sheria kandamizi na ushushwaji wa being a vyakula ,mafuta ,upandaji wa nauli na ukamatwaji wa watu ambao awana hatia.
Mfano aliyekuwa kiongozi wa chadema mkoa wa njombe ndugu Sanga amble yup gerezani kwa miaka 5 na mwenzake Omary wa mkpa wa pwani.
John ametaka uchaguzi wa serikali za mitaa usimamiwe na time hurt ya uchaguzi na sio tamisemi.
Habari na Ally Thabiti
No comments:
Post a Comment