Msemaji wa klabu ya yannga Ali Kamwe amesema shindig wa magoli matatu walioyapata riding ya singida f.j ni dozi tosha na ni Salam katika kuelekea mechi ya Simba na Yanga itakayofanyika 20/4/2024 kwenye simba last Benjamini mkapa .
Ali kamwe amewashukuru wanachama na wapenzi wa yanga wa jijini mwanza kwa kuwaunga mkono mpaka kupata shindig wa magoli 3.
Ametoa wito kwa wapenzi wa yanga kujitokeza kwa wingi kwenye mechi ya simba na yanga kwenye uwanja wa Benjamini mkapa jijini dar es salaam.
Habari na Ally Thabit
No comments:
Post a Comment